Preslanta Microfinance

Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kwa uwazi, uharaka na uaminifu.

Mjasiriamali akiwa mbele ya alama ya Preslanta Microfinance

Mikopo kwa Wafanyabiashara

Tunakusaidia kukuza biashara yako

Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wanaohitaji kuongeza mtaji, kuongeza bidhaa, kupanua biashara na kuboresha shughuli zao za kila siku.

Mikopo kwa Wajasiriamali

Tunaunga mkono ndoto zako za ujasiriamali

Tunatoa mikopo kwa wajasiriamali wenye nia ya kuendeleza shughuli zao, kuongeza uzalishaji na kukuza kipato.

Huduma Zetu

Aina za Mikopo

Mikopo kwa Wafanyabiashara

Boresha biashara yako kwa kuchukua mkopo unaolingana na biashara yako.

Mikopo kwa Wajasiriamali

Endeleza wazo lako la biashara kwa kuanzia kidogo kidogo na Preslanta Microfinance.

Viwango vya Mikopo

Chagua kiwango kinacholingana na biashara yako — TSh 50,000 hadi TSh 500,000.

Omba Kiwango Chako
50,000
100,000
150,000
200,000
300,000
400,000
500,000
Wafanyakazi wa Preslanta Microfinance wakiwa mbele ya ukuta wa nembo

Timu Yetu

Hauko peke yako katika safari yako ya kupata mkopo

Preslanta Microfinance tuna timu maalumu ya huduma kwa wateja yenye weledi, uaminifu na mshikamano, iliyo tayari kukusaidia katika kila hatua ya mchakato wa kupata mkopo.

Timu yetu itakuongoza hatua kwa hatua kuanzia mwanzo hadi mwisho ili kuhakikisha unaelewa kila kitu.

Piga Simu 0624 136 917

Huduma za Timu

Huduma utakazopata kutoka kwenye timu yetu

01

Mwongozo wa Maombi ya Mkopo

Tutakuelekeza namna sahihi ya kuomba mkopo kulingana na mahitaji yako.

02

Msaada wa Kujaza Fomu

Tutakusaidia kuelewa na kujaza fomu za maombi ya mkopo kwa usahihi.

03

Ufafanuzi wa Masharti

Tutakuelekeza mahitaji, masharti na taratibu za kupata mkopo.

04

Ufuatiliaji wa Maombi

Tutakupa mwongozo kuhusu hatua za maombi yako.

05

Huduma Bora kwa Wateja

Tutakusikiliza, tutajibu maswali yako na kukusaidia pale unapohitaji msaada.

06

Huduma Baada ya Kupata Mkopo

Tutaendelea kuwa karibu nawe kwa ushauri, mawasiliano na mwongozo hata baada ya kupata mkopo ili kuhakikisha unaendelea kufaidika na huduma zetu.

Dira

  1. 01

    Kuwa na taasisi imara ya kifedha inayotambulika kitaifa kwa kuwezesha maendeleo ya wateja kupitia huduma bora, nafuu na jumuishi za kifedha.

  2. 02

    Kuwa taasisi ya kifedha inayoongoza Tanzania katika kuwezesha wajasiriamali wadogo kufikia mafanikio ya kiuchumi.

Dhamira

  1. 01

    Kutoa huduma bora za mikopo kwa uwazi, uharaka na uaminifu, kwa lengo la kuboresha maisha ya wateja wetu na kukuza uchumi wa jamii tunazozihudumia.

Uko tayari kukuza biashara yako?

Wasiliana nasi leo — timu yetu iko tayari kukuhudumia.

Ofisi
Ng'ongoajibu, Singida
Wafanyakazi wa Preslanta Microfinance wakisherehekea ufunguzi wa ofisi